Habari Tanzania! Tuna furaha kubwa kukujulisha kwamba Opera imeungana na Airtel Tanzania kukuletea MB 50 za data bure kila siku unapovinjari mtandaoni kupitia Opera Mini. Hii ni sawa na hadi GB 1.5 ya data bure kila mwezi, unakaa mtandaoni bila gharama za ziada. Jinsi ya Kupata Data Bure kwenye Opera Mini Kama wewe ni mteja […]
Read full blog post: Data Bure Kila Siku kwa Kutumia Opera Mini na Airtel Tanzania